Skip to main content
Skip to main content

Wakenya 80 watoweka kwa njia tata katika miaka mitatu

  • | Citizen TV
    1,522 views
    Duration: 3:11
    Wakenya 80 walitoweka kwa njia tata katika muda wa miaka mitatu iliyopita, huku mashirika ya haki sasa yakitaka Bunge kuharakisha utungaji wa sheria ya ulinzi wa waathiriwa. Familia zinazoendelea kuwatafuta jamaa zao waliokongamana mjini Mombasa zinalalamikia kulegea kwa serikali kuwapa majibu kuhusu waliko jamaa zao. Francis Mtalaki anaaarifu kutoka Mombasa.