13 Jul 2026 10:10 am | Citizen TV 214 views Duration: 1:10 Wakenya wamehimizwa kutoruhusu visa vya unyanyasaji wa polisi kupita kimya kimya, bali kuviripoti kwa Mamlaka Huru ya Kutathmini Utendakazi wa Polisi IPOA ili wapate haki.