Skip to main content
Skip to main content

Wakenya waliorejeshwa kutoka Afrika Kusini waiomba serikali mtaji

  • | Citizen TV
    1,157 views
    Duration: 3:01
    Wakenya waliorejeshwa nchini kutokana na uhasama dhidi ya wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini mapema mwezi huu sasa wanaiomba serikali kuwapa mtaji ili waweze kuanzisha biashara zao upya humu nchini. Wakenya hao wanadai kuwa hawawezi tena kujikimu kimaisha baada ya kuacha biashara zao nchini humo. Pia wanaitaka serikali kuwapa watoto wao vyeti vya kuzaliwa na vibali vya kuwaruhusu kuendelea na masomo humu nchini.