- 1,815 viewsDuration: 3:42Ni takribani wiki mbili tu tangu kundi la mwisho la zaidi ya Wakenya 400 waliorejeshwa nchini kutoka Afrika Kusini kufuatia mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni litue nchini. Lakini kwa wengi wao, kurejea nyumbani hakujamaliza mateso yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya