- 24,633 viewsDuration: 26:40Wakenya wapata fursa ya kumuaga kiongozi wa ODM Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani, kwenye siku iliyoshuhudia umati mkubwa wa watu uliotaka kutoa heshima zao za mwisho. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw