- 2,211 viewsDuration: 2:38Wakenya wengi leo waliamua kusalia nyumbani huku biashara zikifungwa kufuatia wasiwasi kuhusu maandamano. Hii ni licha ya hakikisho la serikali kwamba siku ya leo ingekuwa ya kawaida ya shughuli za kiuchumi na kazi. Magari machache ya uchukuzi wa umma yalionekana barabarani huku taasisi za elimu katika maeneo mbalimbali zikisalia kufungwa. Serfine Achieng’ Ouma ana maelezo zaidi.