Skip to main content
Skip to main content

Wakenya watakiwa kutii maagizo ya usalama ili kuzuia vifo wakati wa mvua ya El Niño

  • | NTV Video
    1,121 views
    Duration: 2:10
    Serikali sasa inachukulia mvua ya El Niño inazotarajiwa kati ya mwezi wa Oktoba na Desemba kama suala la usalama wa kitaifa, huku Wakenya wakitakiwa kutii maagizo ya usalama ili kuzuia vifo na uharibifu wa mali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya