Skip to main content
Skip to main content

Wakenya watoroka Afrika kusini

  • | Citizen TV
    13,414 views
    Duration: 3:49
    Wakenya zaidi ya 200 walio nchini Afrika Kusini watoa maombi ya kutaka kurejeshwa Kenya kufuatia maandamano makubwa yaendeleayo kuwafurusha wahamiaji wa kigeni nchini humo. Wakenya 26 tayari wawasili nchini na wengine 63 wakitarajiwa kuwasili leo. Hali yaendelea kuwa tetea katika taifa hilo la kusini mwa Afrika huku wahamiaji wasio na vibali wakipewa makataa ya kuondoka .