Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wengi waliokosa usafiri walazimika kutembea hadi kazini

  • | Citizen TV
    5,282 views
    Duration: 2:43
    Abiria wengi walikwama na kulazimika kutembea baada ya magari ya usafiri wa umma kugoma kupinga ongezeko la bei ya mafuta. Barabara nyingi zilisalia mahame kufuatia mgomo huo ambapo katika maeneo machache kulikokuwa na usafiri, bei zilikuwa zimepanda maradufu.