- 18,064 viewsDuration: 3:40Zaidi ya Wakenya 200 walio nchini Afrika Kusini wametoa maombi ya kutaka kurejeshwa Kenya kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea kuwafurusha wahamiaji wa kigeni nchini humo. Wakenya 26 tayari wamewasili nchini huku wengine 63 wakitarajiwa kuwasili kufikia kesho. Hali imeendelea kuwa tete katika taifa hilo la kusini mwa Afrika huku wahamiaji wasio na vibali wakipewa makataa ya kuondoka kufikia leo.