26 Jun 2026 1:28 pm | Citizen TV 350 views Duration: 1:57 Kwa miaka mingi, wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Katheru katika eneo la Mbeere Kaskazini walazimika kusomea katika madarasa yaliyochakaa.