- 221 viewsDuration: 1:35Wakimbizi wa mapigano baina ya jamii mbili eneo la Ololama Ang'ata Barikoi eneo bunge la Transmara Kusini waliokita kambi katika Shule ya msingi ya Siteti wamepokea msaada wa chakula ikiwemo mahindi, Maharagwe, malazi na Nguo kutoka kwa wahisani.