6 Jul 2026 10:34 am | Citizen TV 151 views Duration: 1:36 Wakongwe katika kaunti ya Trans Nzoia wanasema wamekosa fursa ya kupata huduma muhimu za serikali, ikiwemo Bima ya SHA na mpango wa inua jamii kwa sababu ya kukosa simu.