Skip to main content
Skip to main content

Wakulima katika kauti ya Kericho wapinga pendekezo la serikali la kuhamisha ushuru wa miwa

  • | Citizen TV
    465 views
    Duration: 1:49
    Wakulima wa miwa wapinga pendekezo la serikali ya kuhamisha ushuru wa zao hilo kutoka bodi ya miwa nchini hadi kwenye asasi nyingine mpya.Wakizungumza huko Kipsige kauti ya Kericho, wakulima hao wasema hatua hiyo itaathiri mabadiliko yaliyofanywa ya kuboresha sekta hiyo.