Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Kimana wafunga barabara kupinga kukamatwa kwa wenzao

  • | Citizen TV
    2,378 views
    Duration: 3:56
    Wakulima kutoka eneo la Kimana, Kaunti ya Kajiado, walifunga barabara kuu ya mji huo kupinga kukamatwa kwa wenzao wanne wanaohusishwa na vifo vya ndovu 18 katika mbuga ya Amboseli. Wakulima hao pia wamepinga matokeo ya uchunguzi wa taasisi za serikali kuhusu kilichosababisha vifo vyabo hao. Robert Masai na mengi zaidi.