Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Kitale wahimizwa kukumbatia mbinu mpya za kilimo

  • | Citizen TV
    801 views
    Duration: 1:42
    Wakulima katika Kitale wamehimizwa kukumbatia mbinu mpya za kilimo ili kuongeza uzalishaji na kuboresha mapato yao. Wataalamu wameandaa warsha ya kuwapa wakulima maarifa na ujuzi mpya kabla ya maonyesho ya kilimo.