Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Trans Nzoia waanza kuvuna mazao yaliyosalia baada ya hasara

  • | Citizen TV
    2,363 views
    Duration: 3:24
    Baadhi ya wakulima katika Kaunti ya Trans Nzoia wameanza kuvuna mazao machache yaliyosalia shambani baada ya zaidi ya asilimia 50 ya mazao yao kuharibika. Wakulima hao sasa wameanza kuandaa mashamba upya kufuatia utabiri wa mvua kubwa inayotarajiwa kuanza kunyesha mwezi ujao. Wanaitaka serikali kupunguza zaidi bei ya pembejeo ili kuwawezesha kurejea shambani baada ya kupata hasara kubwa.