31 Aug 2026 1:20 pm | Citizen TV 313 views Duration: 1:42 Wakulima wa chai katika Kaunti ya Nandi wamepongeza hatua ya serikali ya kupunguza bei ya mbolea hadi Shilingi 2,000 kutoka 2,500 wakisema hatua hiyo itasaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza mavuno.