- 153 viewsDuration: 1:43Baadhi ya wakulima wa majani chai kutoka kiwanda cha Sang'anyi katika kaunti ya Nyamira, walalamikia madai ya usimamizi mbaya wa kiwanda hicho, wakiwasuta wakurugenzi wa kiwanda kwa ufujaji na matumizi mabaya ya pesa za wakulima.