- 104 viewsDuration: 1:36Baadhi ya wakulima wa majani chai kutoka kiwanda cha Nyankoba eneo bunge la Kitutu Masaba katika kaunti ya Nyamira, walalamikia madai ya kupunjwa kupitia mizani iliyohitilafiwa, kukatwa kilo za unyevunyevu kwenye chai na usimamizi mbaya wa kiwanda hicho.