9 Oct 2026 10:15 am | Citizen TV 583 views Duration: 2:54 Viongozi na wakulima wa majani chai katika eneo la Zone 3 wameeleza wasiwasi wao kuhusu malipo ya bonasi ambayo wameeleza kuwa ni duni sana, ikilinganishwa na yale yanayolipwa kwa wakulima wa Zone 2.