Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa miwa katika kaunti ya Bungoma wapokea vyema uamuzi wa mahakama ya Vihiga

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 2:04
    Baadhi ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Bungoma waupokea vyema uamuzi wa mahakama ya Vihiga wa kusitisha uchaguzi wa mkurugenzi wa masuala ya miwa kwenye bodi ya sukari nchini ulioratibiwa kufanyika.