27 Aug 2026 1:38 pm | Citizen TV 405 views Duration: 1:15 Uchaguzi wa wakurugenzi wa bodi ya sukari nchini ukikaribia, wakulima wamehimizwa kuwapiga msasa wawaniaji waliojitokeza ili kuwapata walio na uwezo wa kutekekeleza matakwa ya wakulima wa miwa.