17 Aug 2026 10:48 am | Citizen TV 193 views Duration: 1:52 Wakulima kaunti ya Taita Taveta wamenufaika na shilingi milioni 29.9 kutoka kwa serikali ya kaunti kwa ajili ya kupiga jeki sekta ya kilimo hasa kusaidia wakulima hao kutafuta soko la mazao yao.