31 Aug 2026 1:26 pm | Citizen TV 373 views Duration: 1:43 Wakulima kote nchini wamehimizwa kukumbatia kilimo cha umwagiliaji maji mashamba ili kuongeza uzalishaji wa chakula na kupunguza utegemezi wa mvua.