6 Jan 2026 1:21 pm | Citizen TV 274 views Duration: 1:28 Kamati ya usimamizi wa KTDA imewaonya wakulima wa majani chai kutojihusisha na siasa na badala yake wafuate ushauri wa watu wenye maarifa ili kuondoa utata katika usimamizi wa chai.