- 380 viewsDuration: 2:46Wakulima wa makadamia humu nchini wamezua wasiwasi kuhusu hasara wanayopata baada ya marufuku ya kuvuna na kuuza mazao hayo. Wakulima hao wanasema wanapata hasara huku mazao yao yakiharibikia shambani. Wakulima wa kirinyaga wanasema marufuku hayo yaliyotolewa na mamalaka ya kilimo na chakula afa na ambayo itadumu kuanzia januari mosi hadi Februari 15 inastahili kubatilishwa mara moja