24 Jul 2026 12:21 pm | Citizen TV 608 views Duration: 2:01 Wakulima katika Kaunti Ndogo ya Nyatike kaunti ya Migori wahimizwa kupanda mbegu za kiasili na mazao ya jadi kama suluhisho la muda mrefu la uhaba wa chakula na mabadiliko ya tabianchi.