- 138 viewsDuration: 1:58Wakulima wa miwa kutoka eneo la Magharibi wanamtaka Jaji Mkuu Martha Koome kubuni kamati ya majaji watatu kutatua mzozo wa uchaguzi wa maafisa wa kusimamia bodi ya sukari nchini kwenye kesi ambayo inaendelea kusongeshwa katika mahakama mjini Kakamega. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya