Skip to main content
Skip to main content

Wakulima zaidi ya laki sita katika kaunti ya Tana River wanufaika na vifaa vya kilimo

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 2:02
    Wakulima zaidi ya laki sita katika kaunti ya Tana River wamenufaika na vifaa vya kilimo kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo kama njia moja ya kuboresha hali ya kilimo na uzalishaji wa chakula kaunti hiyo.