Skip to main content
Skip to main content

Wakurugenzi wakita kambi Bonde la Ufa Kaskazini kuhakikisha watu wenye ID wamesajiliwa

  • | NTV Video
    232 views
    Duration: 1:30
    Siku chache zikiwa zimesalia kabla ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuhitimisha awamu nyingine ya usajili wa wapiga kura kote nchini, wakurugenzi kutoka idara mbalimbali za serikali kuu wamekita kambi katika eneo la Bonde la Ufa Kaskazini kuhakikisha kuwa idadi kubwa ya watu wenye vitambulisho vya taifa ambao hawajasajiliwa kama wapiga kura wanasajiliwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya