24 Jun 2026 10:32 am | Citizen TV 1,122 views Duration: 1:17 Wakuu wa usalama pamoja na machifu kutoka kaunti ya Garissa wafanya mkutano wa usalama kuhusu kuchipuka kwa magenge ya wahalifu mjini humo.