Skip to main content
Skip to main content

Wakuu wa vyuo vikuu waitaka serikali kutoa fedha za ufadhili kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    848 views
    Duration: 1:32
    Wakuu wa vyuo vikuu wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya elimu kuhakikisha mfumo wa ufadhili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu unatolewa ili masomo ya wanafunzi hasa wa mwaka wa kwanza yasitatizike.