Skip to main content
Skip to main content

Walemavu Uasin Gishu watangaza maandamano ya kila Alhamisi kudai Sh15 milioni

  • | Citizen TV
    452 views
    Duration: 1:36
    Muungano wa walemavu katika kaunti ya Uasin Gishu umetangaza maandamano ya kila Alamisi kuishinikiza serikali ya kaunti hiyo kuwalipa fedha zao shilingi milioni 15 .