30 Sep 2026 10:15 am | Citizen TV 340 views Duration: 37s Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Kaunti ya Migori wametoa wito kwa serikali kuzingatia maslahi yao ya ajira na kuboresha mazingira ya kazi ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.