Skip to main content
Skip to main content

Walimu Samburu wapongezwa kwa kujitolea licha ya changamoto za usalama

  • | Citizen TV
    1,156 views
    Duration: 3:38
    Walimu Kaunti ya Samburu wamepongezwa kwa kujitolea kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kuhudhuria masomo licha ya changamoto za kiusalama na mazingira magumu ya kazi. Kwenye Sherehe iliyokuwa na kambi ya matibabu ya bure pamoja na mashindano ya michezo, maafisa wa elimu na walimu walieleza hatua umuhimu ambazo walimu wamepiga licha ya hali ngumu ya mazingira ya kazi katika kaunti ya Samburu.