Skip to main content
Skip to main content

Walimu Samburu watishia kususia kazi kwa wasiwasi wa usalama

  • | Citizen TV
    329 views
    Duration: 2:57
    Huku Shule zinapofungua milango yake kwa muhula wa tatu, vyama vya walimu KUPPET na KNUT tawi la Samburu vimetishia kutatiza masomo endapo wanachama wake wanaohudumu katika maeneo yenye utovu wa usalama hawatahakikishiwa usalama wao. hatua hiyo inajiri siku chache baada ya mwalimu wa shule ya Nkutuk Eng'iron, kuuwawa na mifugo wake kuibwa.