Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa chekechea kaunti ya Nandi waandamana

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 1:40
    Shughuli za Elimu katika shule za chekechea (ECDE) kaunti ya Nandi zatatizika baada ya walimu wa ECDE kuandamana katika mji wa Kapsabet wakidai kuboreshwa kwa maslahi yao na mazingira ya kazi.