Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa KNUT walalamikia kuhamishwa KUPPET bila kujulishwa

  • | Citizen TV
    544 views
    Duration: 1:55
    Chama cha walimu wa shule za msingi KNUT tawi la Kaskazini mwa bonde la ufa, kimekosoa tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC kwa kile wanachodai,tume hiyo inashirikiana na KUPPET kuwahamisha baadhi ya wanachama wake kuingia KUPPET bila idhini yao.