- 405 viewsDuration: 1:14Walimu wa shule za sekondari chini ya Muungano wa Walimu wa Shule za Sekondari (KUPPET) wameandamana katika eneo la Mutitu, Kaunti ndogo ya Kitui Mashariki, kulaani mauaji ya walimu wawili waliouawa katika matukio tofauti yanayodaiwa kuhusishwa na wapenzi wao.