Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa Samburu walalamika wameondolewa marupurupu

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 3:23
    Huku Shule zikifungua milango yake kwa muhula wa pili,Chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo vya kadri KUPPET tawi la Samburu, kimepinga vikali kuorodheshwa kwa kaunti hiyo katika maeneo yasiyokumbwa na hali ngumu , na hivyo walimu wanaohudumu kaunti hiyo kupoteza marupurupu. Chama hicho kimetoa makataa ya wiki mbili hatua hiyo ibatilishwe la sivyo washiriki mgomo wa walimu kote samburu.