Skip to main content
Skip to main content

Walimu wakuu wataka kuongezwa kwa karo kutokana na gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 3:08
    Walimu wakuu nchini wanapendekeza kuongezwa kwa karo kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Walimu hawa wakisema kuwa ni zaidi ya miaka 11 tangu serikali ilipoidhinisha karo ya sasa. Walimu hawa waliozungumza kwenye kongamano la kila mwaka huko Kilifi wakisema karo ya sasa inayolipwa na kila mwanafunzi haitoshelezi shule kukidhi mahitaji yake