Skip to main content
Skip to main content

Walimu wataka TSC kumteua Mkurugenzi Mkuu wa kudumu

  • | Citizen TV
    287 views
    Duration: 1:52
    Walimu wa shule za msingi na upili kutoka kaunti za Nairobi kaunti, Kiambu kaunti na Machakos kaunti wameitaka serikali kumteua Mkurugenzi Mkuu wa kudumu wa tume ya kuwaajiri walimu(TSC). Walimu hao wanasema changamoto mbalimbali za kiutawala zimeendelea kushuhudiwa kutokana na uongozi wa muda, huku wakieleza kuwa muda wa ukaimu wa Evelyn Mitei unakaribia kumalizika.