Skip to main content
Skip to main content

Walimuwa sekondari msingi wataka uhuru wa kujisimamia

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 2:43
    Chama cha walimu wa sekondari na vyuo vya kadri tawi la Homa bay KUPPET kinasema serikali imekosa kuwajibikia matakwa yao kikamilifu. Walimu hawa wanatisha tutorejea shuleni' iwapo serikali haitatimiza madai yao yakiwemo uhuru wa JSS na matatizo ya bima ya afya ya SHA.