- 414 viewsDuration: 1:02Wamiliki wa matatu wamewahakikishia wananchi kuwa huduma za usafiri wa umma zitaendelea kama kawaida kesho licha ya maandamano yaliyopangwa kufanyika katika baadhi ya maeneo nchini. Aidha, wamewataka watakaoshiriki maandamano hayo kudumisha amani, kuheshimu sheria na kuepuka vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa abiria, wahudumu wa usafiri na mali ya wananchi.