Skip to main content
Skip to main content

Wamiliki wa ploti Kajiado wapinga ongezeko la ushuru wa ardhi

  • | Citizen TV
    239 views
    Duration: 2:59
    Wamiliki wa ploti katika kaunti Kajiado wameelezea wasiwasi wao kuhusu ongezeko la ushuru wa ardhi kutoka shilingi 1,500 hadi kati ya shilingi 6,500 na 7,500, wakisema kiwango hicho ni kikubwa na kinazidi uwezo wao wa kifedha. Wakizungumza na wanahabari, wakazi hao walitangaza kuwa watawasilisha kesi katika mahakama ya Mazingira na Ardhi ya Kajiado tarehe 8 Julai wakitaka mahakama kusitisha utekelezaji wa ushuru huo.