- 319 viewsDuration: 2:58Muungano wa wafanyabiashara na wamiliki wa vilabu nchini umepinga uhalali wa mchakato wa ushirikishwaji wa umma kuhusu mswada wa marekebisho ya sheria ya tumbaku wa mwaka 2024, uliopangwa kufanyika Juni 25, 2026. wadau hao wanasema kuna masuala yanayohitaji kufafanuliwa kuhusu mchakato huo, wakitaka kuhakikisha maoni ya washikadau wote yanazingatiwa kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa kuhusu mswada huo.