Skip to main content
Skip to main content

Wanabodaboda kaunti ya Kajiado wataka serikali kukomesha wizi wa pikipiki

  • | Citizen TV
    309 views
    Duration: 1:59
    Wahuduma wa boda boda kutoka kaunti ya Kajiado watoa wito kwa Idara ya Usalama kaunti hiyo kuendelea kukaza kamba na kukomesha wizi wa piki piki ambazo zinadaiwa kuibiwa na kusafirishwa hadi taifa jirani la Tanzania.