- 532 viewsDuration: 3:34Shughuli za ufugaji katika shamba la Imbirikani lililoko Kajiado Kusini zapigwa jeki baada ya wanachama wa shamba hilo kupokea ng’ombe 12 walioboreshwa. Ng’ombe hao watarajiwa kuboresha uzalishaji na kuimarisha mifugo katika shamba hilo.