- 655 viewsDuration: 2:03Wanafunzi 21 kutoka madarasa tofauti katika kaunti ya Kwale wameshiriki mashindano ya kukariri Quran yaliyofanyika katika kijiji cha Mwaembe huko Msambweni ikiwa jukwaa la kuwalea vijana na kuibua vipaji vyao katika usomaji wa Quran.